ITA News and Updates

 Application for CFFPC

 Invitation for application to join the programme leading to the East African Customs Clearing and Freight Forwarding Practising Certificate (CFFPC. Read more...

 Wakuu wa Idara Wawafunda Watumishi Wapya

Wakuu wa Idara  mbalimbali ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania walifika katika Chuo Cha Kodi kuzungumza na watumishi wapya juu ya wajibu na mambo mbalimbali wanayopaswa kufanya kama waajiriwa wapya wa mamlaka hiyo.Kwa maelezo zaidi bonyeza hapa…